#diamondplatnumz

BEN POL ATHIBITISHA NDOA YAKE KUFANYIKA MWAKA HUU Kwenye Amplifaya ya Clouds FM amesikika mkali wa miondoko ya RnB @iambenpol na kueleza mipango ya ndoa yake anayotarajia kuifanya kabla mwaka huu haujakamilika. Benpol ameeleza kuwa panapo majaaliwa mwaka huu watu watapata nafasi ya kuishuhudia Ndoa yake na mpenzi wake wa muda mrefu sasa @anerlisa japo Benpol hajaweka wazi ni tarehe gani wala mwezi ambao tukio hilo lita-happen. . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . #bongomovie #diamondplatnumz #simba #washkajizangu #watapatatabusana #kigoma #hiiniyetusote #tumewasha #wasafitv #wasafi #alikiba #kitengefashion #chombokwahewa #oluwaburna #millardayoupdates #tanzania #huunimwakawako #kenya #nairobi #harmonize #asubuhi #davido #chioma #nigeria #Lagos57 #vanessamdee #rotimi #burnaboy #nigeria #oluwaburna #jeje #corona

0💬Normal

Hatimaye Tanasha afunguka kilichosababisha penzi lake na Diamond kudumbukia shimoni - - Akizungumza na jarida la True Love la nchini Kenya, Tanasha amesema sababu hasa ni Diamond kukosa interest kutotaka kuendelea tena na penzi lao. Amesema yeye alijaribu kusimama kidete ili waendelee kuwa pamoja si kwasababu yake ila sababu ya mtoto wao sababu hakutaka mtoto wake kukua bila baba yake karibu lakini ndani ya miezi sita hali ya penzi lao ikazidi kuwa mbaya kupumulia mashine na mwisho wa siku akaamua kuachia ngazi - - Kuhusu Kama anajutia kuwa katika mahusiano na Diamond, Tanasha amesema katika maisha yake amekuwa katika mahusiano serious nyakati mbili tofauti hivyo hajutii kutoka na Diamond na penzi lao kusambaratika haimaanishi kushindwa(failure) ila amepata fundisho - - Kuhusu gari alilozawadiwa Kwenye birthday, amethibitisha kuwa gari ameliacha Tanzania hakutaka kuondoka nalo sababu nchini Kenya analo gari lake aina ya BMW lilikuwa limekaa tu gereji. Tanasha amesema yeye sio aina ya mwanamke wa kubeba hiki na kile baada ya kuachana na mwanaume . - - Aidha, Kisura huyo amesema hamlaumu Mond kwa penzi lao kuota mbawa kwani Mond nae alikuwa na matarajio yake#tztimeonlinetvupdates #diamondplatnumz #lukawise #kingkiba #millardayoupdates #thelovealbum #wasafimedia #homayajiji #hainakufeli #zarithebosslady #samatta #love #relationshipgoals #linkinbio #jeshi #wemasepetu #hamisamobetto #tanzania #kenya

0💬Normal

Huyu anapotea saizi anatembea na Dj wa Harmonize sijui ndio anatafuta collabo na #Harmonize 🤣🤣🤣 Ukiambiwa ukweli usipanic angalia unapokosea mxuuuu 🤣🤣🤣#tztimeonlinetvupdates #diamondplatnumz #lukawise #kingkiba #millardayoupdates #thelovealbum #wasafimedia #homayajiji #hainakufeli #zarithebosslady #samatta #love #relationshipgoals #linkinbio #jeshi #wemasepetu #hamisamobetto #tanzania #kenya

0💬Normal

Knock yourselves out🤣😂🤷🏽‍♂️

2💬Normal

Kiukweli katika tamthilia ya karasevda mimi huyu leila na kemali wananifurahisha sana na kuenjoy hii tamthilia wewe je mwenzangu nani unaempenda kwenye karasevda

5💬Normal

Night Vibes🎶🎵 #CHUI🐯 @rayvanny #SIMBA 🦁 #DiamondPlatnumz #rayvanny #wasafi #simba #wcb4life #rafiki_wa_rayvanny

1💬Normal

BEN POL ATHIBITISHA NDOA YAKE KUFANYIKA MWAKA HUU Kwenye Amplifaya ya Clouds FM amesikika mkali wa miondoko ya RnB @iambenpol na kueleza mipango ya ndoa yake anayotarajia kuifanya kabla mwaka huu haujakamilika. Benpol ameeleza kuwa panapo majaaliwa mwaka huu watu watapata nafasi ya kuishuhudia Ndoa yake na mpenzi wake wa muda mrefu sasa @anerlisa japo Benpol hajaweka wazi ni tarehe gani wala mwezi ambao tukio hilo lita-happen. . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . #bongomovie #diamondplatnumz #simba #washkajizangu #watapatatabusana #kigoma #hiiniyetusote #tumewasha #wasafitv #wasafi #alikiba #kitengefashion #chombokwahewa #oluwaburna #millardayoupdates #tanzania #huunimwakawako #kenya #nairobi #harmonize #asubuhi #davido #chioma #nigeria #Lagos57 #vanessamdee #rotimi #burnaboy #nigeria #oluwaburna #jeje #corona

0💬Normal

❤️❤️❤️ 🔥🔥🔥🔥💓💓💓 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ 🔵fσℓℓσω @naseeb_juniour ✔️ #naseebjuniour #chibudangote #kenyanews #shilawaduxtra #diamondplatnumz #daimond #hamornize #kondegang #kondegang #kondeboynews #wasafifm #wasafimedia #wasafitv #naseebjunior #daimonddaily #wasafitv #wasafifm #hamissa #wasafimedia #wasafifestival #wasafifestival2019 #wcbforlife #wcbwasafi #kingkiba #wcb_tweets #diamondplatnumz # #chibudangote #umbea #tanashadonna #wcb4life🔥🔥🔥🔥 #nitakukerazaidi #shilawadu #tanasha #tanashadonnakenya💥

Next Page